Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 966
- 537
Unadhubutu kupanua mdomo na kusema kuwa vuguvugu la wananchi mtwara kupinga gasi kwenda Dar es salaam ni matokeo ya M4C,una uhakika au kama kawaida siku zote ni watu wa kupenda sifa? Ngoma yoyote inayorindima mnataka kucheza hata kama steps zake hamzijui.Mnaishia kujisifu,mbona hamuendi huko kuungana na wananchi?
Hohengera kwako Ustaadh Ilunga hasan kapungu, kazi yako imeonekana,wanaobisha watafute cd ya ustaadhi Ilunga akiwa Mtwara wakati akifafanua mfumo kristo na namna unavyofanya kazi.Kwanini mtwara wamekuwa masikini.Wake up you people dont rely on propaganda!!!

Anasema amekopa Millioni 20 sio 140.Wakati chama kila siku wanazunguka na vikapu kuomba yeye anajikopesha.Halafu anadanganya.Dhambi ya kukiuka amri ya 6 itamtafuna hadi kaburini
Nani kakudanganya? Tangu lini Ilunga, Ponda, Farid na Mohamed Said wakapigania raslmali za nchi na waache kupigania DINI zao?
Acha udini wewe mfuasi wa ponda!Ii uhakikishe tafuta hiyo cd ya mfumo kristo kongamano la mtwara,hapo ndipo utakapojua kuwa wanamtwara kama wameamshwa na m4c au makongamano dhidi ya kuondoa mfumo kristo.Na ukiplus vitabu vya shk Mohamed Said vinavyoelezea historia ya kweli,ndio chachu ya mabadiriko ya wanamtwara.Hakuna haja ya kupiga kelele si waende mtwara wakaungane na wananchi au kwa kuwa maaskofu wamewaambia wasijiingize huko kama walivyofanya wao kana kwamba ile adha inayowakumba wananchi wa kusini wao hawaipati.
Kwanini maeneo yanayokaliwa na waislamu huwa hayana maenedeo ? e.g Mtwara, Lindi, Tabora, Tanga, Mafia n.k Na pia nchi za kiislamu hazina amani, wanajenga chuki, na wakikosa wa kumjengea chuki wanachukiana wenyewe kwa wenyewe. Halafu TV zao huwa ni habari za vita, kujitoa muhanga, na uchochezi. Hakuna cha burudani wala tanthiliya. e. press tv, aljazeera, etc Kwanini ?