Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

ngoja niiprint ili niisome vizuri zaidi maana naona ina mambo ya muhimu sana.

Chukueni time huko na huyo padre wenu. Israel inachukua misaada asilimia 70 ya budget yake kutoa USA, sembuse wewe Slaa!? Juzi juzi tumesikia Rwanda (Kagame) inalia kwa kunyimwa misaada na Marekani kwa sababu ya child military kule Congo, yeye Slaaanadanganya wasioelewa kuwa hakuna misaada huko!? Jeshi la South Africa, Egypt na Senegal yanaongozwa asilimia 60 misaada kutoka Marekani. Jamani, Watanzania siku hizi wanaelewa sana, tujitahidi kuongea points na si kudanganya watu wasiofikiri kwa kasi na kubeba beba vitu hovyo hovyo!
Ukitumwa na watu uende ughaibuni unatakiwa uongee points za maana na si kujichanganya changanya hovyo kama hivi.
 
Speech za Kikwete always kwa wazungu ni saidia baba saidia sisi ni maskini, huku amekalia kiti cha dhahabu, na dola chini ya kiti
 
hujui kusoma wewe unataka English Grammar au points zilizoongelewa, pumbafff
 
By Rtackket


I am determined to work with my countrymen to see our nation of Tanzania reach the Promised Land.

Sitaki kuamini nilichokisoma! Hivi yanayosemwa ni kweli? Jioneeni wenyewe.
 

This speech is full of intellectuality, vision and leadership, all these which are missing all around CCM's generation.

This speech would deserve presentation at the global Economic Forums, rather than at the University level, but happily enough, all these resources are disseminated across the Globe in a matter of second! Obama has got this right and the rest of the global leaders!

Dr SLAA ni kioo cha Tanzania, na pale inapotakiwa kufika miaka 5, 10 hadi 50 iyajo, na kamwe sio CCM ambayo hadi leo 'hakuna kiongozi' bali 'walinda tumbo' zao na za wanaowafadhili nje na ndani.
 
Bado nashangaa wenye AKILI Hawaongozi nchi hapa Tanzania???shame on;;;;;;;;;;;
 

Una ushahidi wa huu ujinga ulioandika hapa au tu ni kwa kuwa umepata INTERNET ya bure na keyboard ya kugonga gonga bila kulipia?
 
Dr. Slaa hatakaa misaada, lakini siyo kila kitu kutegemea wazungu hata mosquito net. Mengine tufanya wenyewe kama nchi
 

Dr Slaa speech is the best of the best...Very short...clear...to the point...hamung'unyi maneno kuwaremba wazungu...Hotuba iko patriotic...Yaani hotuba imeiweka Tanzania kwenye mizani sawa na nchi zingine...Sio ------ kila akienda kuongea nje ni uomba omba tu na kujifanya inferior..We need people like Dr Slaa who can stand strong like the Late Mwalimu Nyerere.
 

hivi baba ritz anatumia kodi za akina nani kula bata?za familia yake au za watz?
 
vision ya JK ni kupata misaada toka kwa wazungu ili alete maendeleo tanzania. Tangu aingie madaraka nchi yetu imeshauzwa kwa wachina
 
ni vizuri mkuu ukakili kuwa lugha imekupiga chenga kama si ushabiki wa kisiasa, lakini content ya hotuba na mpangilio wake , mahudhui yake na maneno yake yako excellent.

Mkuu huyo msukule achana nae atakupasua tu,alitaka kwenye hii hotuba aone maneno kama "i have be told" aka "Nimeambiwa"
 
Babu kwa kuvunga tu, hajambo ni nani aliyemtuma huko? si sisi, sisi tulimchagua Jakaya Mrisho Kiwete ndio atutumikie. Wacha kuvunga babu.

Watanzania wepi waliomtuma huko alikoenda na mchumba? mbona babu anavunga wanafunzi huko?

Teh teh teh! The most stupid speech, Satan's art of deception...


Dr. Slaa kawavuruga bongo zenu, mmezoea vya kunyonga nyie
 
Dr. Slaa hatakaa misaada, lakini siyo kila kitu kutegemea wazungu hata mosquito net. Mengine tufanya wenyewe kama nchi

Kikwete na serikali yake wameshindwa hata kununua Panadol na kuwagawia wananchi kwenye Zahanati mpaka nazo waende wakaombe kwa wazungu
 


what a speech!!!!!!!sijawahi hata cku moja kusikia,kuona au kushuhudia baba ritz akitoa speech yenye akili kama hii.yaani hata siamini wanalumumba hakuna hata mmoja ambaye ameweza kuikosoa hii speech.wanabaki kutupia viembe tu badala ya kujenga hoja.what a speech,what a katibu mkuu
 
Sehemu ambayo hamna "stunning speeches" any banality that merely escapes mediocrity will be hurrahed as brilliance.

In oppressed societies, the mere uttering of truth could be considered revolutionary.

Jangwani hata maji yenye uchafu wa vumbi yanaonekana kama chemchemi ya zamzam kutoka kwa "mungu".
 
Hiyo haiwezi kufanana na ile ya kuambiwa mara tisa. Magamba hamuwezi kuisoma imejaa ukweli mno . ukweli si fani yenu .Tulia muwakilishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…