hampendi kuambiwa madhaifu yenu mnapenda kusifiwa tuu na kupigiwa makofi ee!!!!!!! slaa si chochote ni mharibifu tu wa ndoa za watu tena majirani zake. mahimbo anajuta kuwa jirani yake kule mbezi alivomwibia mke wake
for
all having wives there in america!!!!! plz take care of them. there's
hungry dog around u
Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. 1)Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...
Tanzania is a great and rich country, with rich culture and rich people at heart. Her people have sent me on a study tour. They have sent me to learn the secrets of your success as a society
Sio kwamba huna haja ya kuitafuta Ph.D, ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana kiasi ambacho umeshindwa kupata hata hiyo degree ya kwanza!
Hii hotuba si kwamba ni mwiba mchungu kwa buku saba fc tu, bali pia hata mwenyekiti wenu wa magamba hawana uwezo wa kudeliver speech iliyokamilika kama hii.
Teh teh teh! The most stupid speech, Satan's art of deception...Hii speech inatisha. Comparable to those ever delivered by the Late Mwl. Nyerere - Father of the Nation. Yaani kila neno, sentensi, tungo, paragraph hadi speech nzima ni point tupu mwanzo mwisho. Hebu angalia kila paraghaph; imesimama na ina ujumbe muhimu na maalumu. Sijaona mipasho humo; it's so clear and to the point with minimal verbosity with clear message. Hakika inapendeza.
Haya, Mjane Mweusi ( FaizaFoxy ) tafuta humo typing error, uijengee "hoja" kisha fungua thread mchangie na mabuku 7 wenzako. Mjulishe na Ritz. Teh teh teh!
pitty your wife!uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
u speak vapour from sunrise to sunset! Rubbish!teh teh teh! The most stupid speech, satan's art of deception...