Wakuu JF Amani iwe Nanyi.
Katika muendelezo wa kile kinachojulikana kama Elimu ya Uraia itolewayo Bure na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Safari hii somo lilienda kwa jeshi la Polisi.
Polisi hao wamemuomba Dr Slaa kulikumbuka Jeshi la Polisi Pindi CHADEMA itakapotwaa Madaraka 2015.
Wamesema kuwa CCM imewasahau na kuishia tu kuwatumia na kuwasahau kabisa kuanzia kwenye Mishahara yao Mpaka kwenye Nyumba wanazoishi.
Acha uongo wewe huyo babu mwenyewe nyumba amejenga uzeeni baada ya kujikopesha ruzuku
Mbona wewe unalala sebureni kwa shemeji yako kama Chris Lukosi watu hatulalamiki?
Dr Slaa anawafunda polisi kama nani?
Hii picha ya mwaka gani? mbona inaonekana kama ilipigwa kabla ACT haijazaliwa vile
[FONT=comic sans
ms]Hii picha ya mwaka gani? mbona inaonekana kama ilipigwa kabla ACT
haijazaliwa vile[/FONT]
Vp maulid ya shoga ako Shenaz, mwaka huu hamfanyi?
Mtoto wa kike lazima awe na staha na asubiri atongozwe wewe yamekukuta yapi?
We kitasa kweli kwani nini cha ajabu kwenye hii post mzee msaidieni ndiyo jua linazama hivo.maccm yakija hapa yataanza kuhara
Mingoi dada yako analalamika huwa anashindwa kumpatia shemejio yote kisa wewe unakuwa umelala sebureni utasikia mihemo...... Utakuja geuziwa pindi dada yako akimnyima shemeji yako itakuwa ni zamu yako......Haulalamiki kwa kuwa dada yako hajawahi kuja kwako akilalamika kukosa huduma
mukimaliza tuu billion mmia nne mulizozikomba benki kuu na kufirisi nchi ndio mwisho wa ACT chama cha kumfichia uchafu KIkwete manake CCM walishagawana fitoHii picha ya mwaka gani? mbona inaonekana kama ilipigwa kabla ACT haijazaliwa vile
Umeshamaliza kumnyonyesha mwanaoMingoi dada yako analalamika huwa anashindwa kumpatia shemejio yote kisa wewe unakuwa umelala sebureni utasikia mihemo...... Utakuja geuziwa pindi dada yako akimnyima shemeji yako itakuwa ni zamu yako......