Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Candid Scope umechelewa sana, picha za ukweli zimewekwa tayari. Na kama unalipwa na babu kupiga propaganda leo utamkoma Josephine.
hakuna kilichoongezwa wala kupungua.
Hila za mwovu ccm zimeshindwa!
Naona wananchi wametulia sana wakisubiri kupewa matirio.
Picha ni za kuchakachua bwana mdogo watu wote wanajua. Ningekuwa Mod ningeifuta thread hii na kukupiga BAN la maisha.
Umbea utawatoa mishipa ya Shingo.
Kama anajiamini Brigade ya nini?
gazeti nipashe
Gazeti la wachaga linasambaza propaganda za kichaga.
Uhuru gazeti la Wakware?
Hii ni kutoka media si kutoka source ya kijiweni, ndio maana nimeweka source na picha kamili ilivyo kwenye media ya Nipashe, hizo unazosema tuletee source yake.
Kikosi cha ulinzi kutuko BAVICHA kimeshawasili?
tatizo nini kwani?