Hii nchi hata ukimkamata mwendawazimu mmoja pale mirembe ukampa aongoze atamaliza miaka yake mitano salama salimini, ili mradi awe anakumbuka neno amani na utulivu basi. Watanzania hatuhitaji makuu, hatuhitaji maendeleo.
Zingekuwa si za kweli hakika angeshafungwa.
Kama ni kuongea upupu huko UN na kwingingineko hawezi kuboronga kama Jk na kama ulikuwepo m.city wakati wa W.E.F huna haja ya kubwabwaja cz huna data au ni ushabiki hatarishi.
Ati nini? Labda ukaanzishe forum yako ya kumkosoa hapa huwa anasifiwa tu, na JK ndio wa kupondwa, sorry na hii post yako tutaihamishia kwenye thread za mwaka juzi sasa hivi, na ukiendelea kuanzisha thread za kumkosoa Slaa utapewa BAN soon!