Dr. Slaa asahaulika CHADEMA


Hajatupwa kule ila ni upeo wako ndio ulipoishia, kajitoa yeye mwenyewe, kajificha yeye mwenyewe, sasa nyinyi wafia mtu mnataka kushawishi wenye akili kuwa mtu ni zaidi ya taasisi. Tuambieni nini kimekwama katika harakati za kisiasa za CDM?
 
Umeona wanahangaika sana hao wana DCM sku ya sku watalia na kuombole hawajui mpango wa rowasa ni kuvunja ukawa na kuitupilia mbali kabisa Tunasubilia jembe letu zito Lije lichimbue mizizi yote pyeeeeeee. Chadema ziiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…