CCM mmemsaliti Nyerere angali hai japo alikijenga na kukiasisi CCM!!!
CCM mmeuza mashirika ya umma kwa bei ya kutupa mbele ya macho ya mwalimu aliyewapika mkawa viongozi!!!!
CCM mmesaliti wananchi kwa kugeuka wevi na wanyang'anyi wakubwa!!!!
Hilo dole gumba lako lililojaa sugu kwa jembe la mkono linakutazama unavyoshupaza shingo kwa wenzio wakati kwako kunaungua!!!
Kajisahaurisha mwenyewe katuchosha sasa akaende zake huko.
tangu lini wewe ulikuwa cdm ?Kajisahaurisha mwenyewe katuchosha sasa akaende zake huko.
Kajisahaurisha mwenyewe katuchosha sasa akaende zake huko.
very poor !
Kama ulikua kwenye akili yangu,kajisahaulisha mwenyewe atajijua
Dr Slaa ndiye katibu mkuu wa cdm , sasa sijui kiongozi mkubwa namna hii unawezaje kumsahau ?Wanajanvi ni ukweli usiofichika kuwa wanachadema kwa sasa hawana muda tena kumfikiria Dr Slaa na wala hawaoni pengo lake. Hatuzisikii tena zile movement za bring back or Dr slaa, nitaondoka na dr slaa etc. Muda mwingi wako busy na MADODOKI kumsafisha yule walomwita fisadi kwa miaka minane mfululizo bila aibu yotote.Nawatahadharisha kuwa dhambi ya kumnyanyapaa kiasi hiki Dr Slaa aliyekiweka chama katika sura iliyopo leo, hata kikawavutia hao mnaowasafisha leo haitowaacha salama.
Slaa bhana kanishangaza sana, yaani muda wote huo alikuwa na agenda moja tu ya ufisadi kwa Tanzania tu? Alitakiwa aangalie what Tanzanians they are after now...?
kaeni kimya maana hakuna mnalolijua .Ulitaka tusemeje
kaeni kimya maana hakuna mnalolijua .
Dr slaa hatuwezi msahau kamwe na ndio ngao yetu kwa haya ya duniani wewe mkaanga sumu utainywa mwenyewe unalo.