Kweli historia ilikupita kushoto, na nina wasiwasi wewe kama ni mtanzania aisee. Katika ya Tanganyika ilikuwa ni copy and paste ya katiba ya uingereza, unalijua hilo? Hivi suala la ku-copy and paste unategemea lichukue muda gani? hata wiki moja ingetosha. Sie tunacho taka ni kuandika katiba upya, au wewe una taka copy and paste ?. Tanzania bila CCM haiwezekani mkuu, mnajidanganya tu humu JF , sijui wapiganaji, sijui wadai mabadiliko, sijui nguvu ya umma , sijui tupange mikakati, hayo yote watu tunawatizama tu. Nchi hii hamuipati ng'o !