Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 131
mkuu hii nayo inaleta farajaNakubaliana nawe kwa sehemu. Bado kuna sehemu kubwa za vijijini ambapo mbinu mwamko huu haujafika. Hapa ndipo nashauri wagombea wa ubunge waende maana Dr. Slaa hawezi kufika kila mahali.
Polls zote zinaonyesha hali mbaya kwa CCM japo najua CCM wanazipuuza mpaka hapo zitakaposema CCm iko juu.
Hata random survey mahali popote unapopita, inaonyesha hivyo. Kwenye shindani la Miss Tanzania (Star TV usiku huu), mmoja ameulizwa utamchagua nani kuwa Rais, akataja Kikwete akazomewa na ukumbi mzima!
So the chemistry and pschology is positive on Dr. Slaa but the time, resources and mazoea viko positive on JK.
Nakubaliana nawe kwa sehemu. Bado kuna sehemu kubwa za vijijini ambapo mbinu mwamko huu haujafika. Hapa ndipo nashauri wagombea wa ubunge waende maana Dr. Slaa hawezi kufika kila mahali.

..... Kwenye shindani la Miss Tanzania (Star TV usiku huu), mmoja ameulizwa utamchagua nani kuwa Rais, akataja Kikwete akazomewa na ukumbi mzima!
==========Finally upinzani umeaanza kuthaminiwa! watu huishi kwa mazoea, nilimwuliza mke wangu last time: why would you vote for JK? akaniambia basi tu, chama changu! Kimekufanyia nini miaka 5 iliyopita? She was so sincere "Mwenzangu hakuna kitu ni njaa tupu" she replied. Wapo wengi wa namna hii lakini katika mazungumzo yenye kuleta sense tunaweza kuwageuza watu kama hawa, manake my wife she was finally able to see through and realize how fool she has been all this time!
HIYO NI KURA MOJA YA UHAKIKA KWA Dr SLAA.
TUENDELEE KUWALETA!
I hope to see that video clip!
In my opinion kuiondoa CCM madarakani ama kupata rais asiye wa CCM hapa Tanzania ni sawa na kupata Rais asiye mzungu Marekani. Inawezekana lakini unahitaji extreme factors na pia exceptional candidate kama Obama factor. Kwa sasa hatuna extreme factors (not yet to majority of voters) na wala exceptional candidate.....
Just my opinion....
Haaaaaaaaaaaaaaah Eeeeeeeeeeeeeeeeeehaaaaaaaaaaaaah. Yaani Dk. Slaa aongoza kwenye kura za maoni. Sawa inawezekana ni kweli. Ndiyo anaongoza kwenye BLOGS ambako wachangiaji Tanzania hawazidi 500. Nenda vijijini uone kama kweli Slaa atapata kura. Ndiyo atapata Karatu, Arusha na kwa Wachaga kwingeneko Moshi. Lakini nikwambie Slaa haweZi kupata kura KagerA, mWANZA, sHINYANGA,mBEYA, zANZIBAR NA MAENEO MENGINE YOTE YA tANZANIA. yAANI JK atavunja rekodi ya kura katika uchaguZi huu. Atapata zaidi ya asilima 90. Kwanini asipate kura hizo wakati upinzani haujajipanga? Wapinzani wanapiga kelele tu, hawana kitu wala jipya. Ni kweli CCM ina matatizo. WanaCCM na wananchi wanajua hivyo. Lakini ni afdhali zimwi likujualo kuliko lile usilolijua. Watanzania ni watu makini. Hawawezi kuchagua chama ambacho mwelekeo wake ni kupendelea maeneo fulani (Arusha na Kilimanjaro) tu ya nchi. CHADEMA wabadilishe mbinu za uongozi. CHADEMA hii kamwe haitachukua nchi.
Nakubaliana nawe kwa sehemu. Bado kuna sehemu kubwa za vijijini ambapo mbinu mwamko huu haujafika. Hapa ndipo nashauri wagombea wa ubunge waende maana Dr. Slaa hawezi kufika kila mahali.
Polls zote zinaonyesha hali mbaya kwa CCM japo najua CCM wanazipuuza mpaka hapo zitakaposema CCm iko juu.
Hata random survey mahali popote unapopita, inaonyesha hivyo. Kwenye shindani la Miss Tanzania (Star TV usiku huu), mmoja ameulizwa utamchagua nani kuwa Rais, akataja Kikwete akazomewa na ukumbi mzima!
So the chemistry and pschology is positive on Dr. Slaa but the time, resources and mazoea viko positive on JK.
Hebu tujikumbushe matokeo ya 2005, tulinganishe na pools za mitandao zinavyo maanisha Dr slaa anaweza kufanya wonders gani
Matokeo
Mgombea Chama Kura Asilimia Anna Senkoro PPT Maendeleo 18783 0.17%
Augustine Mrema Tanzania Labour Party 668756 0.75 %
Christopher Mtikila Democratic Party 31083 0.27%
Emmanuel Makaidi National League for Democracy 21574 0.19%
Freeman Mbowe Chama cha Demokrasia na Maendeleo 668756 5.8%
Ibrahim Lipumba Chama cha Wananchi 1,327125 11.68%
Jakaya Kikwete Chama Cha Mapinduzi 9,102,951 80.28%
Dr.Sengondo Mvungi NCCR-Magaeuzi 55819 0.43%
Prof. Leonard Shayo Demokrasia Makini 17070 0.15%
Henry Kyara Sauti ya Umma 16414 0.14%