jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
nakubaliana na wewe.....inawezekana CCM wamezusha tu. kwani ikizingatia taarifa hiyo imetolewa kwenye front page ya UHURU. inawezekana magazeti mengine yametarifu suala hili lakini UHURU ndo imebeba Ukrasa wa mbele
Hawezi kuachwa. Nina alimwambia achague kazi ya siasa badala ya kuendeleza upadri!
We vipi yaani dharura kwako tafsiri yake ni kuingia mitini?
Kukama siyo size ya Slaa.......full stop!
Dk. Wilbroad Slaa ameingia mitini licha ya kuthibitisha kushiriki kwenye kipindi cha Jambo kinachorushwa na TBC1 ambacho kililenga kumkutanisha na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. Wote walithibitisha kushiriki lakini ghafla Dk. Slaa akaingia mitini.
Si size yake kwa sababu ni mdogo kifikra.
Kama kuna UKWELI kwenye hoja hizo kwa nini asitumie platform aliyopewa na TBC kuueleza umma kilichojiri Igunga? Unasema Slaa anajiandaa kupeleka kesi Mahakamani. Kesi haijafika Mahakamani sasa uhuru wa Mahakama unaingiliwaje?No...No...No...Tujaribu kuwa watu makini kidogo kwenye maamuzi,tufikirie kidogo kuhusu
mambo ya msingi ambayo yangewafanya kuingia kwenye mjadala huu ni kama haya:
1.Mwenendo wa Uchaguzi wa jimbo la Igunga-Ni vigumu kuzungumzia uchaguzi wa Igunga wakati unajiandaa
kupeleka kesi mahakamani kupinga matokeo.
2.Tuhuma mbalimbali ambazo zimejitokeza kwenye uchaguzi Igunga ziko mahakamani-Ni wazi kuwa watakuwa
wanaingilia uhuru wa mahakama kwa mtego wa Mukama(ccm) lakini Dr Kashtukia issue.
3.Tuhuma za makomandoo zimeshagonga mwamba na kuonekana ni za uzushi,sasa mukama anataka kubadili
mkakati wa kujeuza maneno kwa kupitia mjadala na Dr Slaa akijua kutakuwa na watu wengi wa kusikiliza.
Ni mawazo yangu tuu.
Hayo matusi yanadhihirisha ulivyokosa hoja za kumtetea Slaa.
Nimeona katika gazeti moja la kila siku. dk Slaa amekacha mjadala uliipangwa kufanyika hapa kwa kushirikiana na chombo kimoja kikuu cha habari yaani TBC1 katika kipindi cha JAMBO LEO.
Katika mjadala huo ambao Mukama alipanga hoja za msingi na kutaka kumuonyesha dk slaa kwamba anayozungumza mengi hafanyi utafiti.lkn pia kuzungumzia magaidi waliongizwa na CHADEMA IGUNGA na mengine mengi juu ya CHADEMA
katika hali isiyoyakawaida katika Chama cha chadema. Dk slaa amekacha mjadala huo.
Jee Dk slaa ameanza kuogopa mijadala ya wazi?
What next?