Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media



"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa

Lizaboni naona unashinda mitandaoni kushabikia vyama, unalipwa au ndo wehhu wasiokuwa na dira mjini
 
MTOA MAADA SIJUI UNA SHIDA gani kwani LOWASA ANAMUDA WA KUHIJIANA KWENYE MEDIA BADALA YA KUPIGA KAMPAENI ? Mbona hujiulizi HATA POMBE HATUMSIKII? Mbona hujiulizi HATA MKE WA POMBE M HATUMSIKII, KAMA FIRST LADY KWA NN MTU MKUBWA KAMA LOWASA AJIBIZANE NA MSAKA TONGE?
Hujasoma maandiko? Kama Alia ha uchungaji YAANI KUWACHUNGA KONDOO UNADHANNI ATAWEZA HUYU KUCHUNGA KONDOO, MBUZI ,SIMBA, FARU ,NYOKA NK???
kaa chini KIJANA UJE UPYA WATU WAKO BUSY KWENYE CHOPA WANAENEXAILANI WW UNAWAKA NA TV NA MAGAZETI
WW KIJANA WA MIAKA YA LINI MPAKA LEO UNAKAA KUANALYZE MTU ANAYETAMBA KWA KUJADILIWA
KAJIPANGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…