Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Endelea kuamini hivyo. Mwisho wa siku mtarudi hapa mkiwa vichwa chiniLowasa wameshajua tayari n rais hamna tena haja ya kumwandika tena hapa! tunasubiri ateuwe baraza lake la mawaziri basi
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.Maskini CCM...wamechanganyikiwa hawaamini kinachoendelea maana mapenzi ya wananchi kwa Lowassa na UKAWA yameongezeka zaidi ya awali, hiyo inaitwa positive feedback.
Mkuu, yaani mmechanganyikiwa sana. Huwezi kumpa kazi ya kuleta mabadiliko fisadi. Hapo ndipo mlipojinyea kiganjaniLizaboni sisi ni wa Lowassa, sisi ni wa mabadiliko. Hizo takataka nyingine hatuna habari nazo. Tubadili kwanza mfumo usiwe wa chama kimoja baada ya miaka 5 ukawa nao tunawacheki. Kwa hii nchi ni Mali ya kundi CCM peke? Chadema na vyema vingine katiba haivitambui? Kwa kufanya hivyo faida inaturudia cc wananchi wa kawaida na kila chama kitakachokuwa kikipata ridhaa hakitafanya makosa. Fuatilia alichotuahidi mwinyi, aliahidi Mkapa, akaahidi Kikwete na sasa anaahidi Magufuli miaka 54. Hapana walichofanya hakiendani na muda tuliowapa.
Na Lowasa atakufa kifo cha karaha sana. Maana hataamini kitakachotokea siku ya uchaguziUKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.