Amefika Bei??
we mzee hakuna utakachoongea ukubalike,sisi tunataka mabadiliko sio kitu kingine.tunaakika umenunuliwa nendaaa salama.
uso wako na lipumba sijui mtaweka wapi ukawa wakishinda.
Kama ni hivyo basi na aende zake sisi haturudi nyuma. Huku kanda ya ziwa tumeshaamua tayari ni lowasa tu kwani magufuri hawezi ndani ya mfumo wa kijizi na kulindana na pengine tungesema labda kama kuwa na Rais au waziri mkuu ni faida mbona nyerere ametuacha vibaya au hata alikotoka pinda au sumayi kote choka mbaya bora Kwa lowasa monduli kidogo pameendelea. Urais wa magufuri ni wa kwake, Familia yake na wezi wenziye haupati ng'o mambo yote Kwa lowasa.
Kama vipi nenda kampe saburi uone moto wa mshumbushileo hii mnamtukana dr slaa kweli nyinyi chadema
Lakini ninachojua hata mumeo yupo ukawa au umeolewa na jamaa mwingine tena?slaa na lipumba wana akili kuliko mamilioni ya wanaukawa wanaotembea kama misukule wakifuata mawazo ya mbowe bila hata tafakuri
Kama ni kweli tutafanyaje sasa, sio mbaya pia kupata mapumziko baada ya kazi kubwa aliyofanya
leo hii mnamtukana dr slaa kweli nyinyi chadema
monduli ingekiwa safi wamasai wasingekuwa wanalala nje na kuuza ugoroKama ni hivyo basi na aende zake sisi haturudi nyuma. Huku kanda ya ziwa tumeshaamua tayari ni lowasa tu kwani magufuri hawezi ndani ya mfumo wa kijizi na kulindana na pengine tungesema labda kama kuwa na Rais au waziri mkuu ni faida mbona nyerere ametuacha vibaya au hata alikotoka pinda au sumayi kote choka mbaya bora Kwa lowasa monduli kidogo pameendelea. Urais wa magufuri ni wa kwake, Familia yake na wezi wenziye haupati ng'o mambo yote Kwa lowasa.
aende tu
Nenda Dk. Slaa hakika utaishi ndani ya moyo wangu mpaka kufa kwangu, hakika wewe ni mwanasiasa pekee hapa Tanzania kuwahi kutokea ***Mungu akubariki Dk****
we mzee hakuna utakachoongea ukubalike,sisi tunataka mabadiliko sio kitu kingine.tunaakika umenunuliwa nendaaa salama.
uso wako na lipumba sijui mtaweka wapi ukawa wakishinda.