Kama ni hivyo basi na aende zake sisi haturudi nyuma. Huku kanda ya ziwa tumeshaamua tayari ni lowasa tu kwani magufuri hawezi ndani ya mfumo wa kijizi na kulindana na pengine tungesema labda kama kuwa na Rais au waziri mkuu ni faida mbona nyerere ametuacha vibaya au hata alikotoka pinda au sumayi kote choka mbaya bora Kwa lowasa monduli kidogo pameendelea. Urais wa magufuri ni wa kwake, Familia yake na wezi wenziye haupati ng'o mambo yote Kwa lowasa.