Nawapa hongera , hizo hela zitarudi kuwahongo nyie 2015 na mtauza kura zenu.Je jamaa zako ambao wana bilioni nje ya nchi huku bado wanaviita vijisenti unawaambia nini?
Nawapa hongera , hizo hela zitarudi kuwahongo nyie 2015 na mtauza kura zenu.Je jamaa zako ambao wana bilioni nje ya nchi huku bado wanaviita vijisenti unawaambia nini?
Huyu lazima atawekwa kwenye tume fulani akishinda ubunge. Dau lake ni dogo sana.
rushwa ni asili ya mtanzania, tangu enzi za machief na mpaka mwisho wa hii dunia watu watalamba kwa kwenda mbele. wewe mwenyewe ukipata channel lazima utalamba kitu kidogo. Hakuna cha Slaa,Mbowe,JK wala nani. Tatizo linakuja pale unakuta mtu anahongwa hela ndogo anafanya mambo makubwa.Kama mlivyowaweka wa kwenu wanaochukua rushwa hotel......
Acha kuzarau watanzania walio masikini wewe,kwa vile mungu amekupa wale hambao hawana kitu unawazarau wewe hufai hata kuwa katibu kata unafikiri mtu masikini aliomba kuwa hivyo?hujui huo umasikini umetokana na mfumo wa serikali hii,koma kabisa kuleta zarau kwa wasionacho.Sasa mtu kama huyu mwenye njaa akiingia bungeni si atapokea hongo hata la elfu kumi.
rushwa ni asili ya mtanzania, tangu enzi za machief na mpaka mwisho wa hii dunia watu watalamba kwa kwenda mbele. wewe mwenyewe ukipata channel lazima utalamba kitu kidogo. Hakuna cha Slaa,Mbowe,JK wala nani. Tatizo linakuja pale unakuta mtu anahongwa hela ndogo anafanya mambo makubwa.
Wewe leo hii nikisema njoo uchukue laki moja ukamtukane Lema JF utakuja humu na kumwaga matusi mpaka utakula ban.
Kiongozi nakuomba uache ushabiki wa kichama kwa dk japo moja tu halafu ufikirie maisha ya Watanzania walio wengi jinsi wanavyotaabika na maisha halafu ufikirie pia jinsi viongozi wa Serikali wanavyotapanya rasilimali tulizo nazo, pamoja na ukwasi walio nao lakini bado wanaendelea kupokea rushwa na kuiuza Nchi kwa bei chee,nimetembea Mikoa kadhaa hapa Tanzania hali ni mbaya kiasi haihitaji ushabiki wa Chama, sisi Wananchi wa kawaida (kama wanavyotuita viongozi wetu) tunatakiwa tuamke sasa nakuwaambia imetosha, lakini tukiendelea na ushabiki kama huu ndugu zetu wataendelea kufa kwa magonjwa yanayotibika.Hizi nyimbo zilipigwa sana radio JF,we ndio unazisikia leo?
Sasa mtu kama huyu mwenye njaa akiingia bungeni si atapokea hongo hata la elfu kumi.
Je jamaa zako ambao wana bilioni nje ya nchi huku bado wanaviita vijisenti unawaambia nini?
Kumbe alikua hana hata pa kulala? Duh ,bora wampe ubunge na yeye apate pa kuishi na kula vizuri.
Mwenye masikio na asikie!.Nawapa hongera , hizo hela zitarudi kuwahongo nyie 2015 na mtauza kura zenu.
rushwa ni asili ya mtanzania, tangu enzi za machief na mpaka mwisho wa hii dunia watu watalamba kwa kwenda mbele. wewe mwenyewe ukipata channel lazima utalamba kitu kidogo. Hakuna cha Slaa,Mbowe,JK wala nani. Tatizo linakuja pale unakuta mtu anahongwa hela ndogo anafanya mambo makubwa.
Wewe leo hii nikisema njoo uchukue laki moja ukamtukane Lema JF utakuja humu na kumwaga matusi mpaka utakula ban.
Yuko mwingine alichukua tractor akaiweka kwake.Mmoja wao wa kule kanda ya ziwa baada ya kushindwa akadai madawati yake aliyochonga...
Slaa akiwa Rais cement itakuwa sh. elfu 5.
Hivi mnyika na Lema wao gharama za kesi zilitolewa na wananchi pia?
Sasa mtu kama huyu mwenye njaa akiingia bungeni si atapokea hongo hata la elfu kumi.