A bunch of wrong moves,nchi isipokombolewa sasa haitakaa ikombolewe tena.Kwa mujibu wa mambo yanavyokwenda kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha ni kuwa Dr.Slaa anaelekea kukosa dhamana na hivyo itamlazimu kupelekwa gerezani Kisongo , ili akakutane na Lema huko .
Ntawajuza nini kinaendelea soon
Hivi hizi mahakama zinafanya kazi mpaka huu mda? mbona kawaida ni saa9:30 au kipindi hiki wanalipwa Overtime kwasababu kuna kazi maalumu ya CCM?Kwa mujibu wa mambo yanavyokwenda kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha ni kuwa Dr.Slaa anaelekea kukosa dhamana na hivyo itamlazimu kupelekwa gerezani Kisongo , ili akakutane na Lema huko .
Ntawajuza nini kinaendelea soon
THIS WILL BE ANOTHER ccm MISCALCULATION!- - - - KWA AKILI YA KAWAIDA UNADHANI INAWEZEKANA KATIBU MKUU WA CHAMA KIKUU KAMA CHADEMA AKOSE MTU WA KUMDHAMINI???
KWANZA KWA NAFASI YAKE PEKEE HAITAJI KUDHAMAINIWA!!!!
MAGAMBA YANAJIMALIZA!
Kwa mujibu wa mambo yanavyokwenda kwenye mahakama ya hakimu mkazi wa Arusha ni kuwa Dr.Slaa anaelekea kukosa dhamana na hivyo itamlazimu kupelekwa gerezani Kisongo , ili akakutane na Lema huko .
Ntawajuza nini kinaendelea soon
Lets wait & see naona uvumilivu unafikia mwisho kwa pande zote.Some thing is going to happen in this country
Bado mpaka sasa majira ya saa 11:21 mahakama inaendelea na hajapata dhamana , ntawajuza zaidi soon , stay tuned.