Mchakato unakuja atapigwa bonge la mweleka tena watanzania kwasasa tunamfanya video huyu mzee akija kwenye mikutano tunakwenda kumwangalia akitoka tunampuuza.
Rais hawezi kuchukua hatua kwa hoja za kijuhama zilizoshinikizwa na wafanyabiashara wapuuzi kamwe hawezi kufanya kosa atachanganya na zile zakwake hawezi kutumia zakuambiwa tu.