Dr.slaa ahutubia kilosa

Dr.slaa ahutubia kilosa

ZIMBOO

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
23
Reaction score
1
muda huu Dr.slaa anahutubia wananchi wa kilosa na amevumbua ufisadi mkubwa ktk misaada ya wahanga wa mafuriko kilosa,upolwaji ardhi na uvunjifu wa haki za msingi za kibinadamu
 
Turushie na picha mkuu!! Dr. anafanya kazi kubwa sana, hakika ni mfano wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom