Ivi kweli kutafuta umarufu ndio ujiumize ? Cdm naona wameishiwa sera hivi leo hakuna tukiololote lilotokea? Wakipata tukio utawasikia na huyo aliehaidiwa kuolewa hadi sasa hajakata tamaa tu kwani nasikia jamaa anamwamnia bado hawajazoweyana siku zinaenda alia tumaini kuna expayadent