Slaa ahujumiwe na nani? Hana jipya yule
Kumbe source ni Tumaini Makene? basi uzushi mtupu.
Babu apumzike tu
Mbinu za kitoto kabisa kama zile za kuweka kura kwenye mahopot ya vyakula!!!
propaganda za kipumbavu kabisa hivi. yaani nimeona propaganda nyngi za chadema ila hii imetia fora. Kwani barabara hiyo linapita gari la DR SLAA pekee? au katika ina maana kwa chadema gari la DR SLAA ndo linakuwa lakwanza? kama ndo hivyo, basi DR SLAA hatendewi haki.
Chadema imekufa
hao watakuwa ni chadema wenyewe wametega hiyo misumari kutafuta huruma ya wana kalenga, dr.slaa anafanya siasa za kitoto sana, akadanganye misukule yake.