Siku hizi anashinda feri kule kwenye jengo la mkemia,karibu na hospitali ya ocean road,ukienda kule utamkuta kalala chini ya mti au kwenye yale mabenchi ya zege yaliyojengwa kwa ajili ya beach