Dr shika VS nabii Tito

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
watu hawa wanaibuka au wanaibuliwa?
 
Dr. Shika ni hero wa Tanzania
Wakati Nabii Tito ni nabii mkuu wa tanzania,
nasikia waliomkamata tito wanaharisha dagaa sa hii
 
Hahaha nabii Tito wanamuonea mbona waumini wake hawakulalamika popote,
Kakamatwa na wakamtoa akili zake. Sheikh mkuu na BAKWATA zinalalamikiwa lakini sheikh mkuu hakamatwi, hapimwi akili unadhani hii sawa?!
Rais anapendelea Dr.Shika pia anayo PhD mbona hampi hata ubalozi au amteue ampe hata ukuu wa Yono broker?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…