Dr. Shein kumrithi Kikwete

Dr. Shein kumrithi Kikwete

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.
 
Shein? Oooh no yule ni mzembe mzembe kuliko hata Pinda..hilo litakuwa gazeti la udaku...
 
Kwa shein hapo watachemsha vibaya au wanategemea kura za huruma kwa sababu jamaa ni mpole?
 
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.

Ha ha ha kama kweli UKAWA wanasubiri kuapishwa kiulaiiini kabisa.
 
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.

Kama atakuwa mrithi wa familia ya Jk baada ya Jk kufa hapo sawa hatuwaingilii lakini kama ni urithi wa urais ataishia kugombea.
 
Habari magazetini Rfa zasema rais wa Zanzibar Dr Alli M. Shein ndiye atakaye mrithi rais Dr.Jakaya Kikwete October mwaka huu.

Dr Shen yupi? Jamani mimi siyo mbaguzi lakini nasema kweli fitina kwangu mwiko.Sijaona Mzanzibari anaeweza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Salim Ahmed Salim 2005 angeweza ila sasa umri umeenda, huyo ndiyo mzanzibari pekee ambae angeweza kuwa rais wa Tanzania ila waliobaki labda wasubiri kizazi cha tano baada ya kizazi hiki kuotoweka duniani
 
Back
Top Bottom