Elections 2010 Dr Shein Hotuba safi na muonekano safi kabisaa!

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Nimependezwa sana na hotuba ya Mh. huyu mara baada ya kutangazwa kwamba ni mshindi wa kiti cha Urais, Z'bar.

Hakuwa na lugha ya kejeri, Hakuna kuzomeana kama CCM walivyozoea, Bila unifomu ya CCM, na la muhimu zaidi ni pale aliposema 'tumeshinda' yaani CCM na CUF. Hii ni lugha ya umoja. Hiyo ndo lugha ya mshindi anayekuwa kiongozi wa nchi. Ukisha shinda wee ni kiongozi wa wote siyo CCM au CUF.

Huku Bara najua hotuba zitakuwa ni zile za taarabu na ngonjera na alama nyingi za chama bila hata sababu.
 
Shein yuko makini mno,
alishindwana na Mkwere ndo maana akawa zake anazindua tu miradi, si unajua mkwere washauri wake kina shehe Yahaya!!!
 
Remember Shein anayo hekima nzuri. Huyo ni kiongozi thabiti. Hana tabia ya makundi. Wale wanaopenda makundi ndiyo wanaotumia vidole juu...........!!!!!!
 
I like the guy! hana makuu! lakini je anaweza ku- deliver that much kwa upole ule! Nimempenda pia diwan wa makumbusho(CUF) anaonekana kuwa na busara pia!
 
Back
Top Bottom