"DR" Shayo the plagiarist

Kama hata mkuu wa nnjiii anakariiri kwa watu wengine inakuwaje? vitabu vingi kumbe usharobaro tu! imekula kwake kama kazoea vya kunyonga kunchinja hawezi.
 
Mimi hapa ndo ambapo huwa nawaaminia watanzania wenzetu wa kaskazini the so called wachaga. huwa wanafight kwa namna yoyote ile kufika kileleni. Ila mkuu nakushukuru sana kwa kuumbua uozo huu angalau wengi wenye mawazo ya mafanikio bila kuyafanyia kazi watajifunza. thank you in advance.
 
I am shocked and disapointed Shayo ameshindwa kutoa credit kwa author

inasikitisha sana,





I think he had the intent not to (give credit to the author) and knew exactly what he was doing. What modern day academic institution does not emphasize the importance of not plagiarizing. I mean if you took a middle school kid they would know that. I for one would admit that was one of those who were impressed until these new developments came to light. Sad indeed! For his own sake he better own-up to this and save what little credibility he had, which from reading comments on here it seems he never had any to begin with
 
Kwa kweli I would suggest that Dr. Shayo should come out clean on this! Akubali kama amekosea sana. I am afraid no body will take him serious kabisa.... Harafu unajua ile blog ya Michuzi hata ukiangalia wachangiaji wengi utagundua uwezo wetu wa kufikiria. Michuzi asilaumiwe, maana najua kabisa...yeye ile blog yake..ni ya matukio na sherehe..it was never meant to be an intellectual platform...

Harafu niliona sehemu fulani kaandika eti alifanya PhD London School of Economics (LSE)? Kuna ukweli katika hili? I used to think alisoma London South Bank. Anyway, he should know that we live in the world of google and facebook!
 
 

Mkuu amesomea London South Bank University PhD yake na sio London School of Economics. LSBU ni chuo cha rank ya chini kabisa UK hivyo sishangai haya madudu ila ushauri wa bure kama hawezi kuandika kitu ni bora anyamaze kimya amasivyo anajiabisha bure...
 
Katika Ulimwengu wa taaluma, huyu ndugu amefanya kosa kubwa sana, tena kwa kudhamiria. Jamii makini inaweza kwenda mbali zaidi na kuhoji uhalali ya shahada yake ya uzamili na hata hiyo ya uzamivu kwakuwa inaonekana dhahiri kwamba jamaa hawezi kuandika mawazo yake mwenyewe. Hii ni mbaya sana, yaani tunageuza elimu kuwa mtaji wa kupatia sifa zisizostahiki?!!
 

Utashangaa wakirudi nchini wanakimbilia siasa badala ya kutumia vichwa vya kusaidia jamii na kutengeza pesa na ndio wanakuwa wapiga porojo kama Makamba kumbe wizi mtupu
 
Dah kweli we have a long way to go..watu wanapenda kuonekana wasomi bila kutoka jasho,no wonder kuna ma PhD fake kibao bongo.Kuwa academician ni msoto na mateso.Sasa kina Shayo acheni upuuzi huu wa kuwakatisha tamaa vijana wanaojituma ili wawe true academicians.
 


Mkuu,plagiarism got no excuse in all fields of study.Hata hao human doctors wakifanya research,wakaandika research article au medical journal labda wana suggest a new approach to the patient with heart failure au appropriate dose ya aspirin ku prevent heart attack/stroke,ni LAZIMA pamoja na ugunduzi wao mpya wa cite pia sources walizotumia na tafiti ambazo ziliwahi kufanyika na matokeo yake.
Huwezi ku copy kazi ya mtu word to word bila kum acknowledge the original author
 

Hili ndio tatizo, maana swala la plagiarism siyo swala la eti ana PhD au hana! even std seven akikopy kitu anatakiwa aweke source! Common sense is not always common.
 
Kaandika kasoma LSE lakini hajasema kama ni PHD labda kama umesoma sehemu nyingine.
 
Mkuu kuweka vitu sawa wana rank hivi vyuo based on drop-outs and not quality of education offered, kwa hivyo kusema hiyo Phd yake kaipata kiurahisi is not fair.

That is not to say LSE and LSBU are the same, purely based on the quality of Tutors rather than syllabus.
 
wakuu hii ni aibu.....

 
Sasa nitaandika barua ya ulalamishi kwa hao jamaa wa South Bank University ili watoe clarification kuhusu huyu Shayo

Hawezi kusimamamia wanafunzi wa PhD huku yeye ni kinara wa hizi academic misconduct.

I will not rest till I get to the bottom of this maana not only anwaibisha wanafunzi wa LSBU bali pia Chuo cha South Bank, department yake na pia hao waliomsimamia hiyo PhD yake.

I cant wait kusoma comments za Pasco on this.
 
Pia kuna umuhimu wa kufumua articles zake zote Michuzi ili kupata idadi kamili ya alizoziiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…