hii nchi imekuwa miongoni mwa nchi hatari kabisa barani africa kuishi, hasa kwa wakosoaji wa serikali wenye msimamo mkali na wasiohongeka...... nasema hivi hakuna wa kuishi milele....... falme zimeinuka na kuanguka......
kuna watawala wanadhani wamezaliwa kutawala wengine, kuwatiisha na kuwasambaratisha wapinzani wao...... Mungu yuko upande wa haki daima...
Raha ya milele umpe ee bwana.. na mwanga wa milele umuangazie.... Upumzike kwa amani DR. Mvungi