Kakutapeli nini? Mbona unabwabwaja tu hapa. Tuhakikishie utapeli wake basi.
Kakutapeli nini? Mbona unabwabwaja tu hapa. Tuhakikishie utapeli wake basi.
Nawe mbona uko hivyo. Huyu anawatahadhalisha watu, wewe unasema anabwabwaja. Tumia lugha nzuri basi. Tumeona DECI, BijaMpola etc, hivyo kuwatahadhalisha watu ni sahihi!
Kama una ushahidi wa kutosha basi taarifa hizi usisite kuzifikisha kwa Wazee wa Feva pia...
Soma kwa makini na utafakari kisha utajua utapeli huo, kama unasoma juu juu huwezi kuelewa.Kakutapeli nini? Mbona unabwabwaja tu hapa. Tuhakikishie utapeli wake basi.
Soma kwa makini na utafakari kisha utajua utapeli huo, kama unasoma juu juu huwezi kuelewa.
Huyu jamaa kaweka nliona email yake niliiona Tanzania International University
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kakutapeli nini? Mbona unabwabwaja tu hapa. Tuhakikishie utapeli wake basi.
Kakutapeli nini? Mbona unabwabwaja tu hapa. Tuhakikishie utapeli wake basi.