Mdondoaji,
Getruda na Warioba na CC ya CCM wakati huo (1985) wana siri kubwa. Sina ushahidi wa maana hapa hivyo nachelea kuyaandika hapa. Mwaka 2005 SAS alipita CC, akapita NEC akaja kuangushwa na kampeni za ajabu na aibu za wanamtandao kwenye Mkutano Mkuu wa CCM. Nadhani dhambi hii ndio inayowatafuna JK na wenzake kwenye utawala wao.