Dr. Salim A. Salim aula Mo Ibrahim

Dr Salim A. Salim, you are exemplary and second to none in terms of adhering to diplomatic leadership and governance. Congratulations.
 
Mchakato wa Urais mwaka 1985 anayeweza kuuelezea vizuri ni JS Warioba na Getrude Mongela. SAS aliitwa tena mwaka 1995. Akadengua. Baada ya kifo cha Mwalimu mwaka 1999, nyota ya SAS nayo ilipotea kabisa. Mwaka 2005 alikosea kuchukua fomu huku akijua hana mtu kama Mwalimu ndani ya CCM na wanavisasi wa Zanzibar.

Mkuu naomba nikusahihishe maana mie nilisikia kutoka kwa mtu wa karibu kutoka CCM kuwa Nyerere alimuona hajapata experience vya kutosha akamuambia asichukue form za urais. Ndio maana akaambiwa akagombee nafasi ya OAU ili imuandae aje kuchukua nchi. Vyote hivyo vilipangwa na Nyerere mwenyewe akijua kuwa atakuja kumpigia kifua ili jamaa achukue nchi. Alipofariki Nyerere Dr Salim aliona bora ajaribu kugombea tena ndipo fitna na majungu vilipoanza simple kwasababu jamaa kuna watu walitaka watawale Tanzania (Akina wanamtandao). Ndio hao hao walishirikiana na watu kutoka zanzibar kuanza kampeni ya chuki kwani iliona ndio njia pekee ya kumzuia jamaa asipite.
 
Mkuu naomba nikusahihishe maana mie nilisikia kutoka kwa mtu wa karibu kutoka CCM kuwa Nyerere alimuona hajapata experience vya kutosha akamuambia asichukue form za urais. Ndio maana akaambiwa akagombee nafasi ya OAU ili imuandae aje kuchukua nchi. Vyote hivyo vilipangwa na Nyerere mwenyewe akijua kuwa atakuja kumpigia kifua ili jamaa achukue nchi. Alipofariki Nyerere Dr Salim aliona bora ajaribu kugombea tena ndipo fitna na majungu vilipoanza simple kwasababu jamaa kuna watu walitaka watawale Tanzania (Akina wanamtandao). Ndio hao hao walishirikiana na watu kutoka zanzibar kuanza kampeni ya chuki kwani iliona ndio njia pekee ya kumzuia jamaa asipite katika mchakato wa kwanza (Kwani walijua akiingia katika mkutano wa kamati kuu ingelikuwa ngumu kumshinda).
Mdondoaji,
Getruda na Warioba na CC ya CCM wakati huo (1985) wana siri kubwa. Sina ushahidi wa maana hapa hivyo nachelea kuyaandika hapa. Mwaka 2005 SAS alipita CC, akapita NEC akaja kuangushwa na kampeni za ajabu na aibu za wanamtandao kwenye Mkutano Mkuu wa CCM. Nadhani dhambi hii ndio inayowatafuna JK na wenzake kwenye utawala wao.
 
Mdondoaji,
Getruda na Warioba na CC ya CCM wakati huo (1985) wana siri kubwa. Sina ushahidi wa maana hapa hivyo nachelea kuyaandika hapa. Mwaka 2005 SAS alipita CC, akapita NEC akaja kuangushwa na kampeni za ajabu na aibu za wanamtandao kwenye Mkutano Mkuu wa CCM. Nadhani dhambi hii ndio inayowatafuna JK na wenzake kwenye utawala wao.
Mkuu,

Nakubaliana na wewe ila hauoni kwamba hizi si zama kuweka siri kama jamaa alikataa wito ni bora tujulishwe kwani tunaweza kumfahamu kiongozi wa aina gani. Tunaweza kumpa sifa asizostahiki.
 
Hongera Dr Salim Ahmed Salim, the best President we never had, thanks to Rostam & co. at the CCM conference 2005.

Instead they gave us Rostam and his sidekicks Lowassa & Kikwete (in that order of importance).
 
Back
Top Bottom