nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,439
- 2,287
Kuna tetesi kuwa amefia hotelini jamani tupeni uhakika.
Kifo ni kifo haijalishi wapi kimetokea
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki wa jf na poleni kwa huu msiba mkubwa.
Nimesikia taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Dr.Ray kafariki dunia akiwa jijini Dar.mwenye kufahamu vizuri kifo chake kimetokea vipi na maeneo gani hapa Dar utujuze maana tumepokea msiba kwa mshituko mkubwa kila mtu anajiuliza imekuwaje imekuwaje!
Dr.Ray alifanya internship Bugando hospital na baadae akafanya MMED(surgery) Bugando na kwa sasa nasikia aikuwa hospital ya Butimba.
R.I.P Dr.Ray Simon Mpina.
ni kweli dr ray kafariki,akiwa dar kikazi katika moja ya hotel aliyofikia.
alikuwa daktari bingwa wa upasuaji( general surgon).
Nasikiaa kajidunga madawa ya kulevyaaaaa kazidishaa doziiiiii r.i.p doktaa
Duuu dr anajidunga sindano ili afe ? Kutakuwa kuna tatizo lilikuwa linamkwaza mpaka afikie uamuzi huo ila madawa mengi ya mahosp hayana tofauti na madawa ya kulevya ndo maana cough syr nyingi zinalewesha na kama alikuwa surgeon yale madawa yatakuwa wanayochanganya yanawaharibu unajikuta unayatumia bila kutaka.
That's not for you to ask.May his soul rest in heavenly paradise!!!
Duuu dr anajidunga sindano ili afe ? Kutakuwa kuna tatizo lilikuwa linamkwaza mpaka afikie uamuzi huo ila madawa mengi ya mahosp hayana tofauti na madawa ya kulevya ndo maana cough syr nyingi zinalewesha na kama alikuwa surgeon yale madawa yatakuwa wanayochanganya yanawaharibu unajikuta unayatumia bila kutaka.
Sawa Manosa ila huyu Dr alikuwa kijana sana na alikuwa habaguwi mgonjwa watu wanasema jumamosi aliwaaga marafiki zake anakwenda dar hivo inachanganya sana.
Poleni sana,taifa limepoteza mtu muhimu sana