..Thibitisha hizi shutuma zako.Sifungwi na itikadi yoyote ya dini wala siasa, NSSF ina udhaifu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kuliko mfuko mwingine wowote wa hifadhi ya jamii, huu ni ukweli kabisa NSSF ina element ya dhuluma kwenye fomular yake ya mafao ya kustaafu, haina record madhubuti ya michango wanayoipokea toka kwa wanachama, wanausumbufu mkubwa katika kutoa mafao kwa wanachama wake kiasi kwamba inaweza kuchukua miezi sita au zaidi.
Tusibweteke na uwekezaji usio na manufaa kwa wanachama ambao ndio wenye pesa.
kuna baadhi ya nafasi na taasisi hata uwekilaza kiasi gani utaonekana una perfom tu! ni sawa na Messi alivyo Barcelona......
..Thibitisha hizi shutuma zako.
Siwezi kukataa haya uyasemayo kwa kuwa mm sio mwanachama wa nssf lakini kwa uzoefu mdogo nilio nao matatizo pia yanaanzia kwa waajiri na hata wanachama kutojua sheria na tartibu za madai na malipo..Nazaidi ni ufanisi wetu watz makazini bado hatujafikia kiwango kizuri cha utendaji wa kazi makazini..Mkuu fatilia wanachama wanaodai mafao yao, watakueleza usumbufu wanaoupatata, haieleweki tatizo ni kukosekana kwa reliable data za michango au kuna agenda ya siri. Hakika shirika inabidi libadilike kwenye maeneo niliyoyataja ili kumantain sustainability, vinginevyo
Bila support ya serikari kwenye kurecruit wanachama wapya, yetu macho
Duh! Wameamua kuhariri post(s) zetu?!!
JF heshma yenu imeshuka!
Maalim Tayeb hio inaitwa MFUMO KRISTO AT WORK!
wao wameshika mpini! Lkn sisi tunakula nao hivohivo! Lbd wafungie kila mujahidina!
Ubaki uzi wa kugalatia tu! Waimbe na kucheza wenyewe!!
Hongera Dr Dau. Sasa wewe ni Dau au msemaji wa Dau?Ziko wapi CAG reports za TRA na BOT?
kuna baadhi ya nafasi na taasisi hata uwekilaza kiasi gani utaonekana una perfom tu! ni sawa na Messi alivyo Barcelona......
...Tokea lini mtu mwenye akili na fikra pevu akanunu kisanamu cha mzungu akakiweka varanda asubuhi akiamka anakipigia magoti anakiomba anakiabudu ana kiamini. Halafu mtu huyo akaanzisha jambo likawa lina heshima au kuheshimu watu au kuheshimu mawazo yao..angekuwa na busara bora angeweka picha ya mama yake akaipindia magoti mama ni bora mara milion kuliko kisanamu cha mzungu.. Stahamilini tu twende nao hivyo hivyo wanavyotaka wao ipo siku tutayafikia malengo yetu kuliko kuwa nao mbali hawa wanunuzi wa visanam vya mzungu.JAMII FORUM wababaishaji sana..na mmedhihirisha uchanga wenu wa fikra ambapo mnajiita fikra pevu..nasikitishwa kuona mlivyo wadini katika dunia ambayo inahitaji rasili mali watu ktk ukuaji wa ustawi wa jamii billa kuangalia itikadi ya dini ya mtu..zimetolewa data nyingi na ufafanuzi cha kusikitisha mnafuta au mna hariri..lengo lenu ni kutengeneza propaganda kua dau mdini?? mmechelewa!! nafurahishwa sana na utendeji kazi wake kazi na alivyoweza ku balance dini zote ktk shirika lakini mmezoea kua wakristo tu ktk kazi..tanzania haitoendelea kamwe kwa mfumo huo..
Maalim Tayeb hio inaitwa MFUMO KRISTO AT WORK!
wao wameshika mpini! Lkn sisi tunakula nao hivohivo! Lbd wafungie kila mujahidina!
Ubaki uzi wa kugalatia tu! Waimbe na kucheza wenyewe!!
Teh teh teh! Zilishushwa data hapa za kufa mtu.....Tena zisizo na shaka hata kiduchu!
Ndugu yangu Dr. kahtaan, nahisi hawa JF wametumwa na Kanisa kuziondoa, kwani hata huu uzi pia waliutoa na sasa wameurejesha!
Teh teh teh teh!
Nakusoma kaka kwa raha zangu!
Zile chembe kidevu lazima tuwagawie!
Teh teh teh teh.