Dr. Ramadhani Dau katika Ubora wake

Dr. Ramadhani Dau katika Ubora wake

....... utetezi juu ya nini !? Sisi Waislaam tumeumbwa na kukinahi, na kukinahi ni ibada kwetu. Kwahiyo usitegemee Dr. Dau akafa kwa sonono ! Kabembe
Sheikh mimi sikuwa kwenye uislam wala ukristo nimejibanza kwenye utu,mimi nilidhani unamtetea Dau as human being,kumbe ni mambo ya 'muislam mwenzangu'! Yakhe mie huko siko asilaani.
 
..Presentation safi.

..Kiswahili safi.

..English safi.

..Ramadhani Kitwana Dau ktk ubora wake!!
 
Hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuifanya nssf iheshimike kama ilivyo kwa dr dau ndio maana wazir ameamua kumteua mganda kushika wadhifa huo.
Astaghfirulahi walai,sheikh kufur hiyo,yaani watanzania milioni 50 hasiwepo hata mmoja? Kwani Dau alipatikana vipi au naye si mtanzania?
 
huyu dada anayetoa post ana mahaba niue kweli. huyu dau ni mume wake wa ndoa au mpenzi. maana naona anajitahidi sana kumpandisha..sielew lengo lake ni nini ila nimesoam post nying za huyu mwandishi akiwa anamsifia tu huyu dau. nampongeza maana huyu ana maoenzi naye ya dhati. nanyi wanawake wengine muwe mnawasifia waume au wapenzi wenu kila wakati kama abiba navyofanya.
 
Kwa kweli nimesikitika kuwa korosho tunauza nje kwa just 1$, wakati ikibanguliwa inakuwa 7$, na ukizingatia kiwanda hakicost hata 100Billion,

Ni aibu kwa taifa kwa hili, kuexport raw materials and labor! Hebu Magufuli fanyia kazi hili ndani ya 1yr
Viwanda tulikuwa navyo vingi tu ila kwa kipindi hicho tukalazimika kuvifunga kwa kuwa masoko ya nje walitaka korosho zisizobanguliwa.
 
muache DAU apumzike kwa amani huko ubalozini...

punguza kutoka povu hapa JF
 
Jamaa anatuaminisha kuwa hakuna mtanzania mwingine mwenye uwezo wa kuwa DG wa NSSF isipokuwa mmoja tu, huyo Dau.

Dau kama CCM tu, ameandaa vijana na kuwalipa ili walete huu upuuzi kila siku. Anakwepa nini?!!!
 
Astaghfirulahi walai,sheikh kufur hiyo,yaani watanzania milioni 50 hasiwepo hata mmoja? Kwani Dau alipatikana vipi au naye si mtanzania?




Hahahahahaahaha....labda jamaa ni superhuman mkuu inaweza yeye ndio alieandika paper za hatari duniani kwenye PhD yake
 
udhaifu wake ni pale anapoweka nyumba ya imani yake katika ofisi ya umma huku akujua kabisa kuwa ni kosa, je na wale wasiokuwa wa imani yake nao aliwatengenea pa kuabudia hapo ofisini kama yeye alivyojifanyia ka msjd kadgo?
 
Kumbe hapa issue inaweza kuwa zile megawat 150 za ule mradi wa umeme kule mkuranga. Na jisa cha due deligence team iliyokwenda marekan na mzabuni kuwa disqualified!!! ndio dau alipogeka mbaya. Sasa naanza kuelewa vzr
 
But there is nothing special here... Labda kanzu na baraghashia.

Umejisikiaje Kushuhudia Mh.Rais kujigeuza MC kwa muda kumpa heshima ya kuzungumza "Mwizi alieiba fedha za ujenzi wa daraja, Mmiliki wa Newcastle, Mdini, Mwny Bill 100 bank, anaetoa tenda kwa makampuni yake NSSF?"
 
udhaifu wake ni pale anapoweka nyumba ya imani yake katika ofisi ya umma huku akujua kabisa kuwa ni kosa, je na wale wasiokuwa wa imani yake nao aliwatengenea pa kuabudia hapo ofisini kama yeye alivyojifanyia ka msjd kadgo?
Mtakufa kwa roho mbaya
 
Back
Top Bottom