Philip Mpango pongezi zako. Watanzania tunauwakika na kazi yako.
Fanya maajabu kama uliyofanya TRA.
Niwe wa kwanza kumpongeza.Tafadhari ukimaliza kuapa Ikulu usiingie ofisini kwako pitiliza hadi mtaa wa Ohio kwenye jengo refu kuliko yote yaliyopo chini ya wizara yako muulize mkurugenZi Pspf Ni vipi toka January hadi Leo hajatulipa wastaafu mafao yetu.Ukiridhika na maelezo yake Tunaomba utupatie taarifa nasi tutaridhika na neno toka kwako.Hatufahamu Kama nasi wastaafu Ni sehemu ya majipu tunatumbuliwa sasa.Mhs tusaidie tunakufa Mzee wangu.
Sababu ya kizungu au? Naona anasoma!
Sababu ya kizungu au? Naona anasoma!
''Atakufa masikini'' ndio msemo huku uswahilini ukiwa mwadilifu.Tuna wattu wachache wazuri still!