Ndani ya CCM ukienda kinyume na matakwa yao umekwisha hata kama unasimama katika ukweli, huo ni mwazo tu kwake wa machungu kwa kupingana na maamuzi ya wakubwa wake. Na bado kwa wengine akina Sofia. Tofauti yake na sofia ni kwamba Sofia ni mwanamke, hivyo hata treatment zao zitakuwa tofauti.