Dr Nchimbi Hoi!!!

Status
Not open for further replies.
Sasa kama yu hoi kwa uwaziri, vipi hali ya wajane, mayatima na wale waliong'olewa viungo
Si huyu alikuwa anafunika makombe watu wakiuawa na kuteswa leo maumivu anayapataje.
Yangempata yaliyompata mwangosi ningesherehekea wiki nzima.
 

Acha uongo wewe..... hajalazwa wala haumwi chochote.
 
great thinker unaamini tunguli! au ndio una think kwa nguvu za tunguli
R.I.P..... Pitiliza tuu!... Kama umerogwa ufee?!.... Hatuna mtu wa kutulipia kisasi kama alivyouawa kinyama mwangosiii!... UROGWE mpaka ufee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…