Dr. Mwele Malecela aula WHO

Yaani kama humu huwa anapita....
Siku ukiweza kuiweka chini yake ...atamaliza watu humu!

Ni kweli...maumivu ya utotoni yana athar nyingi...
 
Jiwe alipogundua kuwa siyo kichaa ikabidi amuondoe. Acha sisi vichaa tubakie kwetu.
 
Hivi anayeula Tanzania kila mara huwa ni Dr. Mwele Malecela tu peke yake? Najiuliza hivi kama isingekuwa huyu Mwanamama ' Kutotumbuliwa ' na Rais JPM tungekuwa tunamzungumzia hivi kila mara huku tukitumia ' teuzi ' zake anazozipata huko Nje kama fimbo ya Kumnanga / Kumsema Magufuli?

Tusilazimishe kwamba kila Mtaalam basi lazima awe anafaa katika Uongozi fulani na tujifunze pia kuheshimu Maamuzi ya Mtu juu ya Mtu fulani. Mbona hamshangai katika Mpira wa Miguu unakuta Mchezaji fulani ni mahiri / mzuri kabisa ila akija tu Kocha mpya na kutokana na mfumo wake ataonekana hafai na ama atamweka benchi au ataamua auzwe kwakuwa atakuwa hamuhitaji.

Sina shida na huyu Mwanamama Dr. Mwele Malecela kwani ni Msomi mzuri tu na si Msomi tu pekee bali pia hata Kichwani ( Upstairs ) bado ametukuka ila nachukizwa na tabia za Kiswahili / Kimajungu ambazo nimekuwa nikiziona hasa pale akipata tu ' Wadhifa ' fulani Watu wataupokea katika mwelekeo wa Kumsema Rais Dr. Magufuli kwamba ameacha Mtu muhimu.

Tubadilikeni tafadhali na siku zingine muwe mnatuwekea na Watanzania wengine ' walioula ' Kimataifa kwani wapo wengi tu ' otherwise ' tutakuwa tunaiendeleza ile ile tabia ' zoeleka ' ya Watanzania ' Wanaharakati ' ya Unafiki!
 
Mutangaza kuwa Tanzania kuna zika ni kukosa uzalendo, ni sawa na kusema ndege imekamatwa. But! When one door is closed another one is open!
 

Habari nzuri sana. Kafanye kazi dada ubabaishaji wa bongo tuachie
 
Hivi Jiwe anajisikiaje kumtumbua kwa umbea wa wanao mzunguka??
 
Usalama ungefanya kazi yake ingegundua kua jamaa hafai,ngoja tunyamaze wasije nitoa kucha
 
Meanwhile lemutuz yuko bize kupiga picha na wabebez..
Lemutuz kwa sasa ni mfanyabiashara wa kitabu (American experience) na mwekezaji (Lemutuz online TV) hivo "Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake".
 
Unadhani unampiga chura teke kumbe unamwongezea spidi na mileage ! Endelea kupambana Mwele-the sky is the limit !
 
Ingekuwa mimi Le mutuz ningerudi nyuma kidogo nijitafakari huwezi kukaa mbele 15 years ukarudi bongo kufungua blog
 
ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Mmeanza upumbavu wenu...lile jitu lenye roho mbaya unafikiri litamsemea vizuri? Acheni ujinga, Dr.Mwele amepata nafasi hiyo kwa sifa zake period!
 
Kama Faru alichukia vile kuona picha ya mtu aliyetoa bastola kwa Nape ikiwa font fed kwenye magazeti,hili litakuwa linamliza kabisaaa!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…