Dr. Mwele Malecela aula WHO

Mbona mnafurahi wakifukuzwa kwa kudhalilishwa, hizi ni roho za kimaskini tu zinawasumbua. waache watu wafurahie tatizo lako nini.


Sina tatizo lolote ila nashindwa tu kuelewa kufurahia mtu asiyekujua na haunufaiki chochote na kupata kwake ulaji, kwangu ni ngumu kuelewa!
 
Hongera sana dada/mama yetu nenda sasa ukatumike kweli kweli kuwasaidia watu wote ulimwenguni ili kuweza kupambana na adui maradhi. Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom