Dr. Mwele Malecela aula WHO

Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Hiv wewe kuwepo kwako dunian kunatusaidia nn wengine, mtu akikwambia si bora ukafa !!? ila mtu akifikia mawazo kama yako jua yuko ukingoni.
 
Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Si ana ndugu yake huku..
Alikuwa(ga) huko?!
 
Si huyu mama aliondolewa apishe wenye Phd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…