MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Waswahili walipata kunena kua msema kweli mpenzi wa Mungu.Hebu mwache mzee wa watu apumzike tu usimchafue kwa sababu keshatoka nje ya system.Usiwe msemaji sasa tafadhali,mbona hukuyasema haya zamani?
Ni kweli kabisa enzi za utatawala kulikua na udhaifu Mkubwa sana wa kudhibiti upitishwaji wa Madawa ya kulevya na mzigo mingine ya haramu pale JNIA,hii ilidaiwa kuunganisha wafanyakazi wasiokua waadilifu wa idara ya usalama wa uwanja huo.Ujue kua mzee JK alikua akipata hasira sana kusikia michezo hiyo ikiendelea huku kuna uongozi ukiwemo wewe kama Waziri wa Uchukuzi, haikuwezekana uongozi upo lakini michezo ya namna hiyo ikiendelea.
Fahamu kua sababu kubwa ya wewe kutolewa pale ilikua kuonesha udhaifu mkubwa sana kwa udhibiti wa njia hizo huku ikipewa mamlaka na serikali ya kudhibiti kwa kila namna, usipotoshe ndugu yangu, ueleze umma ni vipi ulipewa ushirikiano wa hali na mali kutoka Ikulu ya JK kudhibiti suala hilo kwa nguvu zote.
Mzee JK yupo hai na mzima wa afya njema, nikenda kwake leo na akienda mwingine kwake wala haongezi au kupunguza neno kusema ni kwanini alikuhamisha wizara hiyo.Alikua na taarifa zote za kiintelijensia kutoka kwa vijana wake wa kazi jinsi michezo inavyoemdelea pale JNIA huku wewe ukiwa waziri.
Kwahiyo wewe kuondolewa wizarani hapo ilitokana na wewe kushindwa kazi wala usitoe visingizio, huyo kijana Jingu kesi yake kwa wanaoifuatilia wanaijua vizuri tofauti na usemayo.