Dr. Mwakyembe kuendelea na Ubunge wake. Rufaa dhidi yake yatupwa

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu habari za alasili,

Rufaa ya kutengua ubunge wa mh. Mwakyembe imetupiliwa mbali baada ya mgombea wa CHADEMA jimbo la Kyela kushindwa kulipa tshs. MILIONI 3 tu, hiyo ndiyo habari kuu mjini Mbeya.

Poleni sana mlioguswa na habari hii, hongera sana mh. Mwakyembe
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari za alasili,

Rufaa ya kutengua ubunge wa mh. Mwakyembe imetupiliwa mbali baada ya mgombea wa chadema jimbo la kyela kushindwa kulipa tshs. M 3 tu, hiyo ndiyo habari kuu mjini mbeya, poleni sana mlioguswa na habari hii, hongera sana mh. Mwakyembe
Kanunuliwa tu huyo!
 
bado kafulila
 
Hiyo kesi ilisikilizwa lini?nani alishinda na nani alishindwa. hukumu yake ilitolewa lini? .mpaka ikatwe rufaaa.
Rufaa ilikwisha katwa, na ikaamuliwa mlalamikaji alipe 3M kama dhamana, Leo ilikuwa siku ya mwisho, lakini kwa kuwa mlalamikaji kashindwa kulipa imetupiliwa mbali Leo hii
 
Hapo hata chama kimeona ni kupoteza hela bure! Yaani ni hakimu gani ambaye angesema bosi wake ameshinda kwa figisufigisu? Labda nimekosea mwakyembe sio waziri wa sheria na katiba au mahakama ziko chini ya wizara gani jamani naomba kuuliza.
 
Rufaa ilikwisha katwa, na ikaamuliwa mlalamikaji alipe 3M kama dhamana, Leo ilikuwa siku ya mwisho, lakini kwa kuwa mlalamikaji kashindwa kulipa imetupiliwa mbali Leo hii
Kaka hapo hamna rufaa.ni kwamba mlalamikaji amekosa sifa za kufungua kesi.kwakukosa pesa yakufungulia pesa.lkn si kwamba rufaa imekatwa .rufaa inakatwa pale kesi imetolewa maamuzi na mmoja wao hajaridhika na maamuzi .ndiyo anakata kwa mahakama ya juu
 
OK Mkuu unajua mimi sio mwanasheria, ila maana yangu ni kwamba kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa mwakyembe imetupiliwa mbali.
 
Labda chama walifatilia wakaona hakuna uwezekano wa kushinda.
 
Huu ni upumbavu Kwa wapenda demokrasia wote hiki Chama kina pata luzuku sh ngapi???mpaka washindwe kulipa kwenye kesi Za walio kuwa wagombea wao .tuna tambua kuna walio kuwa wagombea wengi Sana ndani ya Ukawa ambao hawana uwezo lakini wananchi walikuwa wana wahitaji na sasa wana dhamila ya dhati ya kufungua kesi lakini watakwama Kwa kuto kuwa na sh milioni Tatu
 
OK Mkuu unajua mimi sio mwanasheria, ila maana yangu ni kwamba kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa mwakyembe imetupiliwa mbali.[/QUOTE
oky ina maana kesi haikufunguliwa kwakuwa mlalamikaji hakuwa na pesa ya kufungulia kesi .hata hivyo huwezi kisemwa imetupiliwa mbali kwakuwa haikufunguliwa .
 
Back
Top Bottom