Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,602
Kwakweli tumefanywa wajinga na hawa watu sidhani kama wanastahili kuendelea kubaki madarakani.
Tangu lini kosa la jinai likafa?
Jinai ina-expire imekuwa bidhaa?!
Tuhuma nyingi za ufisadi nchi hii zote zimeyeyuka mpaka mahakama ya mafisadi ikose kazi?
Mabadiliko ya kweli nchi hii yataanza siku ile ambayo CCM inaondoka madarakani.
"Politics is everything but everything is not politics and making everything politics amount to make everything a failure"
Mahakama ya Mafisadi is already another failure.
Katika hili hawa jamaa hawajabadili gia wakiwa angani bali wamebadili gearbox kabisa!