Hasara anayo liingizia jimbo la Siha hastahili hata kusimama jukwaani kuomba kura, anastahili kuwa mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchumi..Huyu hastahili kupata hata kura ya mkwe wake!!
Msije mkaabika nyie, na baadaye mkaja na kilio cha tumeibiwa, mawakala wamezuiwa, sijui wapiga kura wamehongwa nk..., jitayarisheni vizuri na muwe imara.Ataaibika siku ya kuhesabu matokeo!!
Ni kweli wanasiha wanachangamoto nyingi ambazo zinahitaji ufumbuz na sio maigizoWanasiha wanamatatizo mbalimbali wanayohitaji kusaidiwa zaidi ya kumukubali Magufuli na kumkubali Magufuli siyo suluhu ya matatizo Yao, wapo wengi wanaomkubali lakini kwenye tanuru la Moto tupo pamoja.
Anaweza akawa amemkubali kwa vyuma kubana.Dr mollel anauliza kama kamanda mkuu wa upinzani kamkubali Maguful
kwamba pasingekuwa na uchaguzi jimbo la SIHA wangepata mapato kiasi gani?Hasara anayo liingizia jimbo la Siha hastahili hata kusimama jukwaani kuomba kura, anastahili kuwa mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchumi..
Hasara? Je, unajua ni pesa kiasi gani itatumika ndani ya Siha katika kipindi hiki? Unajua ni wageni wangapi watakuja siha katika kipindi hiki cha kampeni? Kwa taarifa yako wanasiha tunampongeza na kumuunga mkono Dk Molel kwa kuwezesha injection of bilions of money ndani ya wilaya yetu.Hasara anayo liingizia jimbo la Siha hastahili hata kusimama jukwaani kuomba kura, anastahili kuwa mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchumi..
crap!kwamba pasingekuwa na uchaguzi jimbo la SIHA wangepata mapato kiasi gani?
Je baada ya uchaguzi jimbo litapata mapato kiasi gani?
hawa makarai wana hoja nyepesi sana!eti gharama!!Hasara? Je, unajua ni pesa kiasi gani itatumika ndani ya Siha katika kipindi hiki? Unajua ni wageni wangapi watakuja siha katika kipindi hiki cha kampeni? Kwa taarifa yako wanasiha tunampongeza na kumuunga mkono Dk Molel kwa kuwezesha injection of bilions of money ndani ya wilaya yetu.
Crap!Hoja hujibiwa kwa hoja
crap!hoja hujibiwa kwa hoja