Dr. Mollel: Kama Rais wa upinzani kamkubali Magufuli, nani mwingine aweza kumpinga?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hili no swali la mheshimiwa Dr mollel mgombea ubunge wa SIHA kwa wananchi.

Dr mollel anauliza kama kamanda mkuu wa upinzani kamkubali Magufuli ni nani anayeweza kumpinga?

Dr Mollel anasisitiza kuwa yeye aliona mbali na kuamua kumuunga mkono Rais Magufuli.

Hii ni update ya kampeni.
 
Wanasiha wanamatatizo mbalimbali wanayohitaji kusaidiwa zaidi ya kumukubali Magufuli na kumkubali Magufuli siyo suluhu ya matatizo Yao, wapo wengi wanaomkubali lakini kwenye tanuru la Moto tupo pamoja.
Ni kweli wanasiha wanachangamoto nyingi ambazo zinahitaji ufumbuz na sio maigizo
 
Mhuni tu huyu anatutia gharama bila sababu hii phd ni ya ujinga kabisa
 
Hasara anayo liingizia jimbo la Siha hastahili hata kusimama jukwaani kuomba kura, anastahili kuwa mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchumi..
kwamba pasingekuwa na uchaguzi jimbo la SIHA wangepata mapato kiasi gani?
Je baada ya uchaguzi jimbo litapata mapato kiasi gani?
 
Hasara anayo liingizia jimbo la Siha hastahili hata kusimama jukwaani kuomba kura, anastahili kuwa mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchumi..
Hasara? Je, unajua ni pesa kiasi gani itatumika ndani ya Siha katika kipindi hiki? Unajua ni wageni wangapi watakuja siha katika kipindi hiki cha kampeni? Kwa taarifa yako wanasiha tunampongeza na kumuunga mkono Dk Molel kwa kuwezesha injection of bilions of money ndani ya wilaya yetu.
 
hawa makarai wana hoja nyepesi sana!eti gharama!!
mbona wamesimamisha mgombea kama ni gharama?
By the way gharama imeletwa na upuuzi wa chama chao kwa kushindwa kusimama na Rais Magufuli ambaye anahubiri maendeleo ...kiasi kwamba wabunge wanaamua kuhama ili kuunga mkono maendeleo.
 
Back
Top Bottom