MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,720
- 21,955
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Aliwekewa vikwazo na mkwere mkuu, angekua ashajenga tayariTangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Sio vikwazo ni location alotaka kujenga kuna hospitali kubwa zaidi 5 ndani ya eneo la KM 30,machame hosp,kcmc,kibosho hosp.mawenzi hosp.kibong'otoAliwekewa vikwazo na mkwere mkuu, angekua ashajenga tayari
Wakati wapinzani wakidai serikali inaua biashara,kwa kipindi cha miaka 3 ya JPM,mfanyabiashara Mengi amewekeza zaidi ya bil 100 kwenye ujenzi kiwanda cha madawa, anatarajia kufungua kiwanda cha simu na sasa anaingia kwenye Magari. Swali la msingi tujiulize kati ya Mengi aliye kwenye game la biashara kwa zaidi ya miaka 40 na mchungaji Msigwa aliekuwa mchungaji kwa zaidi ya miaka 10 ni nani hasa anaweza kuona uchumi unayumba kwa usahihi?. Tanzania ya viwanda.
Sio mbaya tunachotaka magari tuuuNshawaona wachina hapo😅😅 wanatumia mgongo wake tu
70+ hiyo pesa hanaHivi huyu babu Ana miaka mingapi
Acha chuki kamanda. Toa pongezi kwa Mzee Mengi kwa uthubutu.Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
HahahahaHivi huyu babu Ana miaka mingapi
Tangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .
Hii inaweza kuwa hoja ya kwelihakutupuki!
anamtekenya msukuma ili waongeze kwenye ile idadi yetu ya viwanda 3000+
haya ajenge tupate ajira vijanaAliwekewa vikwazo na mkwere mkuu, angekua ashajenga tayari
Sie tunachojua ni kuwa Mengi anaanza kutengeneza Magari nvhini,vijana kupata ajiraTangu aseme atajenga Hospitali ya magonjwa ya moyo , miaka 20 iliyopita uliona hata mchanga au kokoto ?
Mzee Mengi badala ya kutuona mazuzu ni vema basi ukakamilisha miradi uliyotueleza mwanzo kabla ya kukurupukia mengine .