Dr Mashinji afanya ziara ya kimkakati Arusha

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Katibu mkuu wa Cha cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana alifanya ziara ianayoripotiwa kuwa ni ya kimkakati mkoani Arusha pia katibu mkuu huyo alitembelea ofisi za chama na kuzungumza na viongozi wa chama hicho mkoani Arusha.

Habari katika picha:

2MAS.jpg

Katibu mkuu akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine

1MAS.jpg


4MAS.jpg


3MAS.jpg

Katibu mkuu katika mazungumzo na viongozi

MA.jpg

Dr Mashinji katika kikao kifupi
 
Huyu mashindi huyu ajui arusha ndio wako wenye chama chao aende tengeru kwa mzee mtei
 
Hivi ukitembelea chumbani kwako nako pia unatangaza? si mnasemaga kua Arusha ndiyo ngome yenu? inakuwaje tena mnaitangaza ziara ya chumbani kwenu. Katibu mkuu wenu nafasi immempwaya.
 
Hili suala la kupanga kwenye nyumba za kuishi...ni dalili ya chama kisichokuwa na mipango ya muda mrefu...hata mkipanga mtafute jengo lenye mandhari ya ofisi.
 
Back
Top Bottom