johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Waziri Mahiga amesema kupeleka ofisi za ubalozi Jerusalem ni kinyume na katazo la UN hivyo ubalozi wa Tanzania utabakia mjini Tel aviv! Source BBC Dira ya Dunia.
kama hatufungamani na upande wowote sasa mbona siku hizi tunaanza kufungamana? Maana hata hatuendi marekani eti kisa mange yupo huko!Sahihi ,siasa ya nchi yetu ni kwamba hatufungamani na upande wowote,tuko kimaslah zaidi
Ha haa haaa Mangekama hatufungamani na upande wowote sasa mbona siku hizi tunaanza kufungamana? Maana hata hatuendi marekani eti kisa mange yupo huko!
Lakini kuna mgogoro, endapo utatatuliwa nadhani kila nchi duniani itatamani kuwepo Jerusalem!Mahiga tumekusikia ila Jerusalem ndio makao makuu ya ISRAEL
Full Stop
kama hatufungamani na upande wowote sasa mbona siku hizi tunaanza kufungamana? Maana hata hatuendi marekani eti kisa mange yupo huko!
Mtakwenda tu, ni suala la mudaWaziri Mahiga amesema kupeleka ofisi za ubalozi Jerusalem ni kinyume na katazo la UN hivyo ubalozi wa Tanzania utabakia mjini Tel aviv! Source BBC Dira ya Dunia.
Tulichohitaji ni kufunguliwa ubalozi nchi ya ahadi hayo mengine ni mbwembwe tuuWaziri Mahiga amesema kupeleka ofisi za ubalozi Jerusalem ni kinyume na katazo la UN hivyo ubalozi wa Tanzania utabakia mjini Tel aviv! Source BBC Dira ya Dunia.
wadhalimu kwa wadhalimu hawalaniani!Haya mauaji ya leo Serikali itayalaani au itakula ngumu!? Awamu ya udhalimu kuunga mkono udhalimu duniani.
wadhalimu kwa wadhalimu hawalaniani!
uoga tu wa kipuuzi, sisi hatuwezagi kukemea, chukulia mfano wa zaman kuwa mtoto wa mwenzio akifanya kitu kibaya unamkemea lakin kwa sasa hamna hio toka mwalimu amededi tumekua kifuata upepo na wanafiki wakubwa duniani!Ni kweli Mkuu nina hakika watapiga kimya na huku wanadai wanawaunga mkono Wapalestina!!!! Unawaunga mkono wapalestina halafu unapiga kimya wanapouwawa!? Unafiki ni kitu kibaya sana Mkuu.
Huyo mange naona atawaoa wafipa nzima maana si kwa kumwabudu hukukama hatufungamani na upande wowote sasa mbona siku hizi tunaanza kufungamana? Maana hata hatuendi marekani eti kisa mange yupo huko!
kua na akili kubwa, mimi sio mwanachama wa chama chochote na wala sijaongelea huo upumbav wako! Nimeongelea kitaifa kua tanzania kwa sasa haina uhusiano mzuri na marekani kwa sababu ya mtifuano na mange! Sasa hapo kuna mambo ya vyama!? Ushamba tu!Huyo mange naona atawaoa wafipa nzima maana si kwa kumwabudu huku