SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Za sikukuu wakuu, naona na mtandao umekuwa mupyaa
Yesu, huyu tuliyeazimisha birthday yake aliwahi kusema "kabla hujamsema mwenzio ana kibanzi jichoni kwake, jitoe kwanza boliti kwako"
Mh Rais ameapa kututoa vibanzi vyote na ameanza kwa kasi kuubwa hata kudiriki kuondoa kibanzi cha TRL na RAHCO (naunga mkono) . Lakini asidhani tumesahau kuwa ana miboliti machoni pake anayopaswa kuyatoa kabla ya kuendelea na vibanzi vyetu, tena asipoyatoa yatamsababishia ule ugonjwa unaoitwa double standard.
boliti yenyewe ni ile unaccounted for, 200+ billion zilizosemwa bungeni na hata katika report ya CAG,
Kuna boliti ya Ferry ya kutoka dar kwenda Bagamoyo (sakata la aibu hili)
Boliti la meli ya Samaki za magufuri
Boliti la kuuza nyumba za serikali (hapa ndo hatari)
Boliti la tender ya Daraja la Kigamboni
NDUGU Rais , Haya maboliti unajitoa lini, ili upate uhalali wa kututoa vibanzi machoni kwetu
Update:
kumbe hili boliti lenye red, ombeni alihusika, hongera kwa kumtumbua, je hayo mengine unajitumbua lini