Dr. Magufuli untold story!

Dr. Magufuli untold story!

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,266
Reaction score
14,274
Watu hawakumuhesabia kama mkombozi japo walimuona kama mkombozi. Ni mmoja kati ya mawaziri wachache sana alie kuwa muwadilifu na mchapa kazi. Hakuwa bora waziri ila waziri aliyeenda field na kuikagua kazi ya ujenzi wa taifa.

Ni waziri aliyependa utani ila sio utani wa kazi. Ktk wizara zote ameongoza alisifika ktk kuzijua takwimu wakati fulani akiwa waziri wa wizara fulani alikariri mpaka watoto wa samaki ktk maziwa na bahari.

Jakaya Kikwete alimpenda sana japo hakuwahi kuonyesha upendo wake watu wakajua japo wakati fulani mama wa Magufuli aliwahi onekana akiteta jambo na J. K huko kwao.

Mara kwa Mara Rais Kikwete alionekana akicheka sana hasa pale Magufuli akisoma taarifa na takwimu za madaraja. Wakati wa kikao cha mwisho wa bunge mwaka 2015 Anna Makinda spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano aliwapa wabunge nafasi ya kumpiga maswali vile wapendavyo na Magufuli aliyajibu yote bila kupata kigugumizi.

Tarehe 29/10/2015 ambayo ametangwa Rais wa Tanzania ndio tarehe aliyotoka tumboni mwa mama yake.Magufuli ni mcha Mungu na inasemekana amewahi mjengea Mungu kanisa.

Pamoja na kuitwa fisadi just kwa kutekeleza amri halali ya baraza la mawaziri kuuza nyumba za serikali, hajawahi kuonekana akiwasema vibaya walio kuwa viongozi wake.

Ni mwalimu wa hisabati na hisabati haina njia mkato aliwahi watania watu wapige mbizi japo hakumaanisha. Ni mtu anayefuata sheria kiasi,alishawahi pingana na bosi wake waziri mkuu juu ya kuruhusu magari ya uzito mkubwa kuharibu barabara. Amewahi piga push ups mbele ya watanzania wakati wa kampeni jambo halijawahi fanywa na mgombea yeyote.

Kwa wazalendo wengi wa Tanzania wanamchukulia kama Joshua wao wa kuwafikisha nchi ya ahadi japo kwa wangine wanaona hamna jipya.

Anasifika kwa kusoma na kupitia makabrasha, wakati fulani alimfukuza contractor wa barabara kwa kuandika report ya uongo. Kwa miongo yote amekuwa waziri miundo mbinu hakuwahi tokea waziri wa aina yake na haijulikani nani atakuja baada yake.

Ktk macho ya kisiasa wengi walitamani awe waziri mkuu jambo ambalo halikuwatokea mpaka anateuliwa kuwa Rais tarehe 29/10/2015.

Kuna wakati afya yake ilileta huzuni kwa watanzania wengi ila uchaguzi huu umeonesha yupo imara kuendesha taifa hili even 10 year. Ana amri moja nenda nenda na rudi rudi, hana mzaa na kazi ndio maana anaitwa tinga tinga.

Amevunja record ya kuirudisha Mwanza yote CCM. Inategemewa kwamba uenda siku ya kuapishwa kwake kukawa na ma elfu ya watu kumsindikiza.

Ujio wake umewafanya wavivu wengi ndani ya serikali kuanza kubadili tabia.

Upo uwezekano mkubwa siku za urais wake zikawa siku za hayati baba wa taifa. Pamoja na kejeli na dharau zote mahasimu wake wanamjua ni mtendaji na hana mchezo na kazi.
 
I have a different story though....!!!!!
 
Mtaji pendekeza pendekeza sana shauri yenu......
 
Magupombe mcha Mungu..jaman tumuogope Mungu
Ni mcha mungu. Aliwahi kupambana na unyang'au wa viongozi waliokuwa wakijimilikisha magari ya serikali na kuamuru magari yooote ya serikali yatumie namba za serikali badala ya namba za binafsi. Hapo ndipo tukaona ujio wa namba kama DFP, PT, MT, nk. Kabla ya hapo hali ilikuwa mbaya sana, viongozi walikuwa anatumia magari yenye namba za kiraia kwenye shuguli zao kama vile magari binafsi hadi wengine wakaaandika majina yao baada ya kujimilikisha. Magaufuli ni mzalendo na mungu amsaidie katika kuliongoza taifa hili.
 
Watu hawakumuhesabia kama mkombozi japo walimuona kama mkombozi. Ni mmoja kati ya mawaziri wachache sana alie kuwa muwadilifu na mchapa kazi. Hakuwa bora waziri ila waziri aliyeenda field na kuikagua kazi ya ujenzi wa taifa.

Ni waziri aliyependa utani ila sio utani wa kazi. Ktk wizara zote ameongoza alisifika ktk kuzijua takwimu wakati fulani akiwa waziri wa wizara fulani alikariri mpaka watoto wa samaki ktk maziwa na bahari.

Jakaya Kikwete alimpenda sana japo hakuwahi kuonyesha upendo wake watu wakajua japo wakati fulani mama wa Magufuli aliwahi onekana akiteta jambo na J. K huko kwao.

Mara kwa Mara Rais Kikwete alionekana akicheka sana hasa pale Magufuli akisoma taarifa na takwimu za madaraja. Wakati wa kikao cha mwisho wa bunge mwaka 2015 Anna Makinda spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano aliwapa wabunge nafasi ya kumpiga maswali vile wapendavyo na Magufuli aliyajibu yote bila kupata kigugumizi.

Tarehe 29/10/2015 ambayo ametangwa Rais wa Tanzania ndio tarehe aliyotoka tumboni mwa mama yake.Magufuli ni mcha Mungu na inasemekana amewahi mjengea Mungu kanisa.

Pamoja na kuitwa fisadi just kwa kutekeleza amri halali ya baraza la mawaziri kuuza nyumba za serikali, hajawahi kuonekana akiwasema vibaya walio kuwa viongozi wake.

Ni mwalimu wa hisabati na hisabati haina njia mkato aliwahi watania watu wapige mbizi japo hakumaanisha. Ni mtu anayefuata sheria kiasi,alishawahi pingana na bosi wake waziri mkuu juu ya kuruhusu magari ya uzito mkubwa kuharibu barabara. Amewahi piga push ups mbele ya watanzania wakati wa kampeni jambo halijawahi fanywa na mgombea yeyote.

Kwa wazalendo wengi wa Tanzania wanamchukulia kama Joshua wao wa kuwafikisha nchi ya ahadi japo kwa wangine wanaona hamna jipya.

Anasifika kwa kusoma na kupitia makabrasha, wakati fulani alimfukuza contractor wa barabara kwa kuandika report ya uongo. Kwa miongo yote amekuwa waziri miundo mbinu hakuwahi tokea waziri wa aina yake na haijulikani nani atakuja baada yake.

Ktk macho ya kisiasa wengi walitamani awe waziri mkuu jambo ambalo halikuwatokea mpaka anateuliwa kuwa Rais tarehe 29/10/2015.

Kuna wakati afya yake ilileta huzuni kwa watanzania wengi ila uchaguzi huu umeonesha yupo imara kuendesha taifa hili even 10 year. Ana amri moja nenda nenda na rudi rudi, hana mzaa na kazi ndio maana anaitwa tinga tinga.

Amevunja record ya kuirudisha Mwanza yote CCM. Inategemewa kwamba uenda siku ya kuapishwa kwake kukawa na ma elfu ya watu kumsindikiza.

Ujio wake umewafanya wavivu wengi ndani ya serikali kuanza kubadili tabia.

Upo uwezekano mkubwa siku za urais wake zikawa siku za hayati baba wa taifa. Pamoja na kejeli na dharau zote mahasimu wake wanamjua ni mtendaji na hana mchezo na kazi.

Uandishi wa kinyumbu kwa manyumbu yasiyojua kutafakari! Ukiwa unasoma maandshi ya namna hii yana hatari ya kunyonya ubongo wako ubaki gharasha!
 
Sasa kitu gani hapo ambacho ni untold? Pushapu? Si kila mtu kaziona au hujui maana ya untold?
My broda!!!
 
Kumpa Lowassa nchi ni sawa na utani wa wazi kabisa, Lowassa sio rais ila ni genge la wapiga dili!
 
watu hawakumuhesabia kama mkombozi japo walimuona kama mkombozi. Ni mmoja kati ya mawaziri wachache sana alie kuwa muwadilifu na mchapa kazi. Hakuwa bora waziri ila waziri aliyeenda field na kuikagua kazi ya ujenzi wa taifa.

Ni waziri aliyependa utani ila sio utani wa kazi. Ktk wizara zote ameongoza alisifika ktk kuzijua takwimu wakati fulani akiwa waziri wa wizara fulani alikariri mpaka watoto wa samaki ktk maziwa na bahari.

Jakaya kikwete alimpenda sana japo hakuwahi kuonyesha upendo wake watu wakajua japo wakati fulani mama wa magufuli aliwahi onekana akiteta jambo na j. K huko kwao.

Mara kwa mara rais kikwete alionekana akicheka sana hasa pale magufuli akisoma taarifa na takwimu za madaraja. Wakati wa kikao cha mwisho wa bunge mwaka 2015 anna makinda spika wa bunge la jamuhuri ya muungano aliwapa wabunge nafasi ya kumpiga maswali vile wapendavyo na magufuli aliyajibu yote bila kupata kigugumizi.

Tarehe 29/10/2015 ambayo ametangwa rais wa tanzania ndio tarehe aliyotoka tumboni mwa mama yake.magufuli ni mcha mungu na inasemekana amewahi mjengea mungu kanisa.

Pamoja na kuitwa fisadi just kwa kutekeleza amri halali ya baraza la mawaziri kuuza nyumba za serikali, hajawahi kuonekana akiwasema vibaya walio kuwa viongozi wake.

Ni mwalimu wa hisabati na hisabati haina njia mkato aliwahi watania watu wapige mbizi japo hakumaanisha. Ni mtu anayefuata sheria kiasi,alishawahi pingana na bosi wake waziri mkuu juu ya kuruhusu magari ya uzito mkubwa kuharibu barabara. Amewahi piga push ups mbele ya watanzania wakati wa kampeni jambo halijawahi fanywa na mgombea yeyote.

Kwa wazalendo wengi wa tanzania wanamchukulia kama joshua wao wa kuwafikisha nchi ya ahadi japo kwa wangine wanaona hamna jipya.

Anasifika kwa kusoma na kupitia makabrasha, wakati fulani alimfukuza contractor wa barabara kwa kuandika report ya uongo. Kwa miongo yote amekuwa waziri miundo mbinu hakuwahi tokea waziri wa aina yake na haijulikani nani atakuja baada yake.

Ktk macho ya kisiasa wengi walitamani awe waziri mkuu jambo ambalo halikuwatokea mpaka anateuliwa kuwa rais tarehe 29/10/2015.

Kuna wakati afya yake ilileta huzuni kwa watanzania wengi ila uchaguzi huu umeonesha yupo imara kuendesha taifa hili even 10 year. Ana amri moja nenda nenda na rudi rudi, hana mzaa na kazi ndio maana anaitwa tinga tinga.

Amevunja record ya kuirudisha mwanza yote ccm. Inategemewa kwamba uenda siku ya kuapishwa kwake kukawa na ma elfu ya watu kumsindikiza.

Ujio wake umewafanya wavivu wengi ndani ya serikali kuanza kubadili tabia.

Upo uwezekano mkubwa siku za urais wake zikawa siku za hayati baba wa taifa. Pamoja na kejeli na dharau zote mahasimu wake wanamjua ni mtendaji na hana mchezo na kazi.
uchambuzi mzuri sana. I've read with tears in my eyes. Dr. Magufuli ni mchapa kazi na mwadilifu. Mungu amlinde na amuepushe na kila hila ya muovu shetani. Tanzania sasa iko kwenye mikono salama!
 
Kwa kuwa Ana hofu ya Mungu apo ndo nimepapenda.
Ata akipiga atakuwa na huruma
 
Urais tofauti na uwaziri subiri uone shida na migomo isiyo na mwafaka

Robert, wenzio wanakusubiri barabarani muandamane kupinga matokeo. Kama hilo halitoshi wenzio wanakusubiri mfanye mgomo baridi wa kufanya kazi. Kama ni hivyo nakushauri mawazo hayo uyafute kichwani maana utajikuta unasaga miguu kutafuta kazi Tanzania ya Magufuri kama hutokuwa lupango.

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Back
Top Bottom