Dr. Magufuli Regime against Kakobe perception

Mungu huweka viongozi atamaaniye kazi ya uaskofu atamani kazi oliyo njema, uliona wapi utaratibu wa kuwekwa uaskofu.
Kwenye biblia yako umemsoma papa?
Kwahiyo Zakaria alijitathmini. akajipima akaangalia level ya uelewa ya kondoo zake akina jspmsl then " akajitwisha" uaskofu! Hongereni.
 
Si mjaribu kufuta, muone kitakachowapata? Unafikiri Kanisa ni maandishi ya chaki ubaoni, unachukua duster, unafuta tu? Mnarukaruka tuuu, miaka yote hii; tutafuta Kanisa, tutafuta Kanisa! Mara Tanesco, mara Tanroads, mara TRA, mara takataka gani, sijui. Wapuuzi kabisa. Waulizeni Warumi watawaambia nguvu ya Kanisa. Kamtu kamoja tu kamepangishwa kwenye majengo ya wananchi pale Barack Obama Avenue(hakajui hata uchungu wa kodi), eti, "nitafuta Kanisa"; WEWE!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…